العب مع Elly واجمع العملات المعدنية، وأطلق النار على الأعداء وتجنب المسامير والعقبات، واحصل على أفضل نتيجة من خلال البقاء على قيد الحياة لأطول فترة ممكنة ومشاركتها مع أصدقائك.
السواحلية :
Hakikisha Elly anakwepa vikwazo, anapiga risasi maadaui na kukusanya safari nyingi. Share na rafiki yako Gemu hili litakusaidia kuongeza kiwango chako cha kufocus na kuongeza kiwango cha utulivu. Kumbuka Gemu hili halihitaji bando unaweza kucheza hata kama hauna Bando .
Share na rafiki yako .